Cindy ashindwa malezi? msanii wa muziki nchini Uganda Cindy Sanyu Msanii wa muziki Cindy Sanyu, amepoteza tena haki ya malezi ya mwanae Amani katika mapambano ya kisheria dhidi ya baba wa mtoto huyo na mpenzi wake wa zamani, Mario Brunett. Read more about Cindy ashindwa malezi?