Wafuasi watano wa Chadema Mbaroni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania IGP Ernest Mangu. Wafuasi watano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kufanya mkusanyiko usio halali. Read more about Wafuasi watano wa Chadema Mbaroni