Joh Makini: tujifunze kutoka nje

msanii wa bongofleva nchini Joh Makini

Rapa Joh Makini amesema kuwa, ni muhimu kwa wasanii kukaza na kutumia vizuri nafasi ambazo wanazipata kukutana na wasanii wakubwa kutoka nje, na pia kutumia nafasi hizi kujifunza na kupanua muziki wao binafsi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS