Nakaaya aja na 'Blessing' na mwanae

msanii wa bongofleva nchini Nakaaya Sumari

Msanii wa muziki Nakaaya Sumari, amejipanga kwaajili ya kuanika upendo alio nao kwa mwanae Kai kupitia video mpya ambayo inakwenda kwa jina 'Blessings' ambayo itatoka mwanzoni mwa mwezi ujao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS