Mgomo wa walimu Tanga wanukia Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi nchini Tanzania, Dkt Shukuru Kawambwa. Walimu wa shule za msingi na sekondari Jijini Tanga nchini Tanzania wametangaza Kufanya mgomo endapo mapendekezo yao kwa wizara ya Kazi na Ajira hayatashughulikiwa. Read more about Mgomo wa walimu Tanga wanukia