Sheria usalama barabarani zibadilishwe - Mulongo Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo. Mkuu wa Mkoa wa Arusha nchini Tanzania, Magesa Mulongo, amesema ipo haja ya kuharakisha kubadilisha sheria za usalama barabarani ili ziwe kali kwa wanaosababisha ajali hizo waache mara moja. Read more about Sheria usalama barabarani zibadilishwe - Mulongo