Mao akanusha kupotezwa na "Uteja" katika sanaa Mao Santiago Repa wa muziki wa Dansi, Mao Santiago amekanusha vikali tetesi zinazoendelea kusambaa juu yake kuwa amepotea kisanaa kutokana na kuangukia katika wimbi la matumizi ya dawa za kulevya. Read more about Mao akanusha kupotezwa na "Uteja" katika sanaa