Maelfu ya Watanzania waendelea kufa katika ajali Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani nchini Tanzania, Mohammed Mpinga. Takwimu zinaonyesha kuwa takribani watu elfu thelathini na moja, mia tatu na kumi na tatu wamefariki dunia kutokana na ajali za barabarani zilizotokea kati ya 2005 hadi sasa. Read more about Maelfu ya Watanzania waendelea kufa katika ajali