CHIPPO ATAKA USHINDI MECHI YA SIMBA

Kocha Mkuu wa Coastal Union ya Tanga, Yusuph Chippo amewapa mitihani mkubwa wachezaji wa kikosi hicho kuhakikisha wanapambana kufa na kupona ili kuweza kuchukua pointi tatu dhidi ya Simba Jumapili wiki hii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS