Dk Bilal mgeni rasmi mkutano wa MCT na wanausalama
Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal kesho atakuwa mgeni rasmi katika mkutano wa mashauriano kati ya vyombo vya habari na wakuu wa utekelezaji wa Sheria, Ulinzi na Usalama, mkutano uliyoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).