Dk Reginald Mengi aingia fainali za tuzo za AABLA
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dk Reginald Mengi, ni miongoni mwa wafanyabiashara wanne waliofikia fainali ya kuwania Tuzo ya Mwaka ya Mfanyabiashara Bora Afrika (AABLA) kundi la Afrika Mashariki.