Abbas kujianika kupitia 'Ghettoholic'

Abbas Kubaff

Rapa Abbas Kubaff kutoka nchini Kenya, anatarajia kuzindua albam yake inayokwenda kwa jina Ghettoholic tarehe 27 ya mwezi huu na hii itakua ni baada ya kurejea kutoka Sweeden ambapo yupo sasa kwa shughuli za kimuziki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS