Agizo la Pinda kwa Bodi ya Chai
Waziri Mkuu wa Nchini Tanzania Mizengo Pinda amewataka Wakala wa Wakulima Wadogo wa Chai pamoja na Bodi ya Chai nchini waangalie uwezekano wa kuunda timu ya watu wawili au watatu itakayosimamia mwenendo wa kiwanda cha chai Mponde,kilichopo lushoto.