Mbunge wa Arumeru Magharibi, Godluck Ole Medeye (kushoto) akiteta jambo na waziri Mkuu Mizengo Pinda bungeni mjini Dodoma hivi karibuni.
Wananchi wametakiwa kuwekeza katika elimu, kwani ndio njia pekee ya kuweza kujikwamua na umaskini kwa kuwa na idadi kubwa ya vijana waliosoma na wenye uwezo wa kufanya shughuli mbalimbali.