Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi kutoka Ofisi za Takwimu nchini Tanzania Bw. Moris Oyuke (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari hivi karibuni.
Tanzania inaongoza kwa ukuaji wa pato la taifa GDP kwa nchi za Afrika Mashariki ambapo kwa mwaka huu pato limekua kwa asilimia 7.4 ikilinganishwa na mwaka jana ambapo ukuaji ulikua ni asilimia 7.1