Nishati tatizo vijijini
Taasisi za kuzalishia nishati ya umeme wa biogas zimetakiwa kupanua wigo zaidi wa kuendeleza taalum hiyo na kuweza kufikia kila kijiji ili kuweza kupunguza uharibufu wa mazingira na kuleta maendeleo ya kiuchumi katika vijijini nchini.