Jose Chameleone apigwa tafu
Msanii Jose Chameleone, amepata msukumo wa aina yake kulekea onyesho lake ambalo atatoza kiingilio cha shilingi milioni 1 kwa kila kichwa, baada ya mfanyabiashara Katsha kutoka Afrika Kusini kununua tiketi 52 za onyesho hilo peke yake.