Makalla awataka waliokatwa wawe na subira

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM CPA Amos Makalla

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM CPA Amos Makalla, ametoa wito kwa waliokuwa wagombea wa chama hicho katika nafasi za uchaguzi wa serikali za mitaa ambao majina yao hayakupitishwa pamoja na kwamba walishinda kura za maoni kuwa na subira.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS