Dance100% hapatoshi j'mosi hii

mashindano ya kucheza muziki ya Dance100% 2014 Tanzania

Shindano kubwa kabisa la kucheza muziki, Dance 100% 2014 linatarajiwa kuzikonga nyoyo za wapenda burudani kwa mara nyingine siku ya Jumamosi, katika hatua ya nusu fainali ambayo itapambanisha makundi 10 yaliyobakia katika michuano hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS