JK ayataka majeshi kubuni mbinu dhidi ya maadui

Rais wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete.

Amiri jeshi mkuu wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wameyataka majeshi hapa nchini kuendelea kubuni mbinu zaidi zinazokwenda na wakati ili kuweza kukabiliana na vitendo mbalimbali vya kigaidi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS