EU yaridhishwa na kiwango cha demokrasia nchini

Mkuu wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Filberto Ceriani Sebregondi.

Jumuiya ya Ulaya imeelezea kufurahishwa na muafaka uliofikiwa wiki iliyopita baina ya vyama vikuu vya siasa nchini Tanzania kuhusu mchakato wa katiba mpya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS