TFF yarejesha ligi daraja la pili

Viongozi wa juu wa shirikisho la soka nchini TFF pichani.

Katika hali inayoonesha kutaka kurejesha ushindani na ubora wa soka hapa nchini shirikisho la soka Tanzania TFF kupitia kamati ya utendaji wameamua kurejesha mfumo wa kuwa na ligi daraja la pili [SDL]

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS