Okwi aanza kazi Simba aongoza mauaji Gor Mahia leo

Mshambuliaji hatari wa timu ya Simba Mganda Emmanuel Okwi akimpiga chenga beki wa Gor Mahia ya Kenya.

Mshambuliaji mpya wa klabu ya Simba Mganda , Emmanuel Okwi hii leo ameichezea kwa mara ya kwanza timu hiyo na kupata wakati mgumu kutokana na kuzomewa na mashabiki wa Yanga SC kila muda alipokuwa akigusa mpira

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS