TRA lawamani tena

Baadhi ya maduka yakiwa yamefunguliwa kwa kuvizia katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam.

Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini Tanzania JWT imeishutumu mamlaka ya mapato nchini TRA kwa kuchochea hatua ya baadhi ya wafanyabiashara nchini kufunga maduka yao kupitia utata unaoendelea kuhusu matumizi ya mashine za risiti za kielektroniki za EFD.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS