Msalaba Mwekundu kuendelea kuhifadhi albino
Chama cha Msalaba Mwekundu nchini Tanzania RED CROSS kimesema kuwa kinaendelea kujenga vituo mbalimbali vya kuwahifadhi watu wenye albinism katika mikoa ya Simiyu, Geita na Tabora ili kuwaokoa na wimbi la kufanyiwa vitendo vya ukatili.