Dj Cleo kutua nchini Kenya msanii wa muziki wa nchini Afrika Kusini Dj Cleo Msanii wa muziki DJ Cleo anatarajiwa kuandika historia ndani ya Afrika Mashariki, ambapo atatumbuiza katika siku maadhimisho ya miaka 25 ya Demokrasia ya nchi yake ya Afrika Kusini ndani ya Kenya. Read more about Dj Cleo kutua nchini Kenya