mwanamuziki wa miondoko ya Jazz Uganda Isaiah Katumwa
Nyota wa miondoko ya Jazz nchini Uganda Isaiah Katumwa anatarajia kutumbuiza katika shindano la mchezo wa gofu jijini Entebbe likiwa na lengo la kutokomeza umaskini na kuondoa unyanyapaa nchini humo.