Phina hakuwahi kufikiriwa kutendwa

msanii wa muziki wa Uganda Phina Mugerwa

Msanii Phina Mugerwa wa nchini Uganda, ameweka wazi hisia zake za moyoni kuwa, hakuwahi kutarajia kuwa baba wa mtoto wake, Ken Muyiisa angeweza kuja kumsaliti na kuanzisha mahusiano na Cindy na kuacha mipango ya maendeleo ya familia yao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS