MBEYA CITY KUKIPIGA NA VIPERZ YA UGANDA
Timu ya soka ya Mbeya city jumamosi hii inatarajia kucheza mchezo wa kimataifa wa kujipima nguvu dhidi ya timu ya Vipers Fc zamani bunamwanya inayoshiriki ligi kuu ya soka nchini Uganda mchezo utakaopigwa kwenye Uwanja wa kumbukumbu ya sokoine Mbeya.