Serikali yaanza utekelezaji wa miradi ya maji

Waziri wa Maji na Umwagiliaji nchini Tanzania Profesa Jumanne Maghembe.

Serikali imeanza ujenzi na utekelezaji wa Miradi 1,555 ya Maji nchi nzima katika jitihada za kukabiliana na hatimaye kumaliza tatizo la uhaba wa huduma ya maji safi na salama kwa wananchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS