YASINI HAJI MOHAMEDI
Nimezaliwa 1994 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM
Mimi nim mtoto wa 4 katika familia ya watoto 6 nina kaka 2 na dada 3
Ninaishi TEMEKE na WAZAZI WANGU
Mtaani kwangu najulikana kwa KISIKI
Mimi nimesoma mpaka FORM FOUR
Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: KURUKA SARAKASI