ABDALLAH JUMA
Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM
Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 5
Ninaishi MBAGALA KONGOWE na WAZAZI WANGU
Mtaani kwangu najulikana kwa KUDANCE
Mimi nimesoma mpaka KIDATO CHA NNE
Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni HAKUNA ZAIDI YA MZIKI