JK kukutana na viongozi wa vyama vya siasa Rais wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete. Rais Jakaya Kikwete leo atakutana na wenyeviti na makatibu wakuu wa vyama vya siasa kupitia Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), mjini hapa. Read more about JK kukutana na viongozi wa vyama vya siasa