Gelly asema muziki umebadilika, na yeye abadilika Gelly Wa Rhymes Staa wa muziki Gelly wa Rhymes, ameweka wazi kuwa kwa sasa katika soko la muziki, yeye akiwa kama msanii mwenye muda katika game ameona mabadiliko makubwa na vipaji vipya vinavyofanya vizuri. Read more about Gelly asema muziki umebadilika, na yeye abadilika