Afrika Mashariki iungane dhidi ya saratani-Mwinyi Rais Mstaafu wa awamu ya pili nchini Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi. Rais Mstaafu wa awamu ya pili nchini Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi amezitaka nchini za Afrika Mashariki kuungana katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa saratani. Read more about Afrika Mashariki iungane dhidi ya saratani-Mwinyi