IBRAHIM SUDY MLIRO
Nimezaliwa mwaka 1990 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM
Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 3 Nina kaka 1 na dada 1
Ninaishi na BABA na MAMA
Mtaani kwangu najulikana kwa Kuimba na Kudansi
Mimi nimesoma mpaka 4M 3 ( FORM 3)
Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza kudansi) ni: Music tuu ndo Party of my Life.