Juliani kusaidia soka Dandora msanii wa muziki nchini Kenya Juliani Msanii wa muziki Juliani wa nchini Kenya, ameendelea kuonesha moyo wa kujitoa kusaidia wengine, ambapo sasa ametangaza kudhamini michuano ya mpira wa miguu ambao unaendelea huko Dandora maeneo alipokulia. Read more about Juliani kusaidia soka Dandora