Stereo: ilinibidi kuisubiri Usione Hatari
Rapa Stereo ambaye ameachia kwa mashabiki wake kolabo yake ya Kimataifa, "Wako", featuring Victoria Kimani, ameweka wazi sababu za kazi hii kuchelewa kuachiwa, ambapo amesema kuwa ni kutokana na Video ya Usione Hatari kuchelewa kutoka.