HUSSEIN SALEHE

Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya TEMEKE mkoa wa DAR ES SALAAM,

Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 5 Nina kaka 1 na dada 1,

Ninaishi na BABA na MAMA

Mtaani kwangu najulikana kwa NAX NAX 

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA (7)

Shughuri zangu za kila siku 9Zaidi ya kudansi) ni:- FUNDI SEREMALA

 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS