Waombaji ajira wazingatie taratibu - serikali

Waziri wa Kazi na Ajira nchini Tanzania, Bi. Gaudensia Kabaka.

Serikali ya Tanzania imewataka waombaji wa kazi kuzingatia taratibu zinazotakiwa katika kuwasilisha maombi ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza kutokana na kuwepo wa tatizo la kuwasilisha nyaraka pungufu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS