EDY BRILLIANT

Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es salaam,

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 3. Ninaishi na Baba na Mama,

Mtaani kwangu najulikana kwa jina la Kipara

Nimesoma mpaka Elimu ya chuo "Diploma"

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni Biashara

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS