Dance100% kuingia nusu fainali
Makundi 10 yaliyofanikiwa kutimba katika nusu fainali ya mashindano makubwa ya Dance 100% 2014, leo hii yameweza kufika katika ofisi za EATV kwaajili ya maelekezo na uchaguzi wa nyimbo ambazo watatumia katika mpambano kuelekea fainali.