Polisi Arusha yamkamata 'mdunguaji risasi wanawake Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Liberatus Sabas amesema jeshi hilo linamshikilia mtuhumiwa wa matukio ya kuwapiga risasi wanawake jijini Arusha. Read more about Polisi Arusha yamkamata 'mdunguaji risasi wanawake