JUKATA lataka mchakato wa Katiba usitishwe
Jukwaa la katiba nchini Tanzania limeitaka serikali kusitisha mara moja mchakato wa kutafuta katiba mpya ikiwemo vikao vya bunge maalum la katiba vinavyoendelea mjini Dodoma, kutokana na kile ilichoeleza kuwa ni kukwama kwa mchakato huo.