Tanzania na 'Balaa' la ndoa za utotoni

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto nchini Tanzania Bi. Sophia Simba.

Tanzania imetajwa kushika nafasi ya Ishirini ikiwa ni mojawapo ya nchi inayoongoza kwa ndoa za utotoni duniani, huku asilimia 42 ya wasichana wameolewa wakiwa chini ya umri wa miaka 18 katika bara la Afrika pekee.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS