BFT kutengeneza kikosi kipya michuano ya taifa

Wachezaji wa timu ya ngumi za kulipwa ya Tanzania wakiwa katika moja ya safari ya kwenda nje ya nchi.

Mabondia chipukizi na vijana wadogo wenye vipaji na uwezo katika mchezo wa masumbwi huku wakionesha nidhamu ya hali ya juu ndio watapewa nafasi ya kuunda kikosi kipya cha timu ya taifa ya ngumi za ridhaa ya Tanzania kupitia michuano ya ngumi taifa

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS