Vijana ndio watalibeba soka la Tanzania: TFF/FIFA

Baadhi ya waamuzi na makocha vijana wanaohudhuria semina ya mafunzo ya FIFA kwaajili ya michuano ya Copa coca cola.

TFF inaamini kutoa mafunzo kwa vijana katika kozi mbalimbali kutafungua milango ya nafasi za soka la kimataifa kwa wachezaji, waamuzi na makocha wa mchezo wa soka nchini,

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS