TWCC kuendelea kuwezesha wanawake wajasiriamali

Bi. Suzan Mtui, Mtendaji Mkuu wa Chemba ya wafanyabiashara wanawake nchini Tanzania ya Tanzania Women Chamber of Commerce - TWCC.

Wanawake wajasiriamali nchini Tanzania, wametakiwa kujiunga katika Jumuiya na taasisi za wajasiriamali wanawake, ili kuwapa uwezo, ujuzi, mbinu pamoja na maarifa ya kuuza bidhaa zao katika masoko ya kimataifa yakiwemo masoko ya kikanda.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS