Bobi Wine atetea kauli yake
Msanii Bobi Wine wa Uganda amejitetea kuwa, kauli yake dhidi ya Mheshimiwa Amama Mbambazi kuwa angekuwa makini kutokuchafua sahani ya bosi wake, haikuwa na lengo lolote la kumdhalilisha ama kumvunjia heshima mwanasiasa huyu.