Polisi yamhoji Mbowe na kumuachia kwa dhamana

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Freeman Mbowe.

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe jana amehojiwa na jeshi la Polisi nchini Tanzania kuhusiana na kauli alizozitoa katika mkutano mkuu wa chama hicho hivi karibuni huku vurugu zikitawala katika tukio hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS